Viwanja vinauzwa mabwepande kinondoni DSM, m20×m30 tsh6,500,000. Kuna m20×m20 tsh4,500,000. Pia kuna nyumba kubwa ya kisasa yenye vyumba3, sitting room1, dining1, master1 na choo 1 cha public. Yenyewe bado kupauliwa tu. Bei Tsh 25,000,000. Vyote vipo karibu na shule ya sekondari ya mabwepande, ni mita chache tu kutoka barabara kuu. Tuwasiliane p.m.