Viwanja vinauzwa Kunduchi-salasala

Viwanja vinauzwa Kunduchi-salasala

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,769
Reaction score
8,260
Sqm 2000 kina nyumba,bei 65 milioni na sqm 2000 kipo plane,bei 45 milioni.Barabara ni ya lami kutoka main road,barabara ya kawaida ni 100 mita mpaka eneo la viwanja vilipo.Huduma za maji na umeme zipo jirani na viwanja vyote.
Angalizo:viwanja vyote havijapimwa.
Mawasiliano:0714 381704.
 
kwanini havijapimwa?ili kuondoa utata tunahitaji hati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom