M Makumbusho Member Joined Nov 6, 2010 Posts 23 Reaction score 2 Aug 2, 2012 #1 Viwanja vinauzwa kimara suka.... Kwa mawasiliano piga 0689531454
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Aug 2, 2012 #2 Weka bei na size
M Makumbusho Member Joined Nov 6, 2010 Posts 23 Reaction score 2 Aug 2, 2012 Thread starter #3 ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano.
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Aug 3, 2012 #4 Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... bei inaanzia sh ngapi
Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... bei inaanzia sh ngapi
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Aug 3, 2012 #5 Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... Mkuu ungeweka na bei ili watu tuje mazima mazima!!
Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... Mkuu ungeweka na bei ili watu tuje mazima mazima!!
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Aug 3, 2012 #6 Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... Bei=maelewano????!!!!!!!!!! Bei ni maelewano????? AU Bei ni Tsh..........................................???!!! with maelewano
Makumbusho said: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano. Click to expand... Bei=maelewano????!!!!!!!!!! Bei ni maelewano????? AU Bei ni Tsh..........................................???!!! with maelewano
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,214 Reaction score 4,170 Aug 3, 2012 #7 ..Bei Maelewano? Kweli? NIna Milioni 1 Unusu. Inakwenda??
B ben van mike JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 467 Reaction score 190 Aug 3, 2012 #8 yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Aug 3, 2012 #9 ben van mike said: yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako Click to expand... mimi sielewi wanachoogopa kutaja bei, natamani mods wawe wanafuta post za kutangaza biashara zisizoonyesha bei halisi ya bidhaa kama post hii.
ben van mike said: yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako Click to expand... mimi sielewi wanachoogopa kutaja bei, natamani mods wawe wanafuta post za kutangaza biashara zisizoonyesha bei halisi ya bidhaa kama post hii.
M Makumbusho Member Joined Nov 6, 2010 Posts 23 Reaction score 2 Aug 3, 2012 Thread starter #10 haya wadau bei kuanzia milion 7...
next JF-Expert Member Joined Nov 2, 2007 Posts 604 Reaction score 185 Aug 3, 2012 #11 By Makumbusho: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano Makumbusho said: haya wadau bei kuanzia milion 7... Click to expand... mdau, mbona bei ni juu sana? ukubwa kuanzia 20m by 20m na bei ni kuanzia 7million.tutafika tu.
By Makumbusho: ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 na kuendelea.. Haviko mbali na barabara... Bei maelewano Makumbusho said: haya wadau bei kuanzia milion 7... Click to expand... mdau, mbona bei ni juu sana? ukubwa kuanzia 20m by 20m na bei ni kuanzia 7million.tutafika tu.
O opul New Member Joined Aug 2, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Aug 3, 2012 #12 milioni 7 is for 20 x20?
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 376 Aug 3, 2012 #13 ben van mike said: yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako Click to expand... Mkuu ukiona mtu katoa tangazo na hakuweka bei ujue hajiamini na hiyo bei yake.
ben van mike said: yaaani kila siku watu wanalalamika humu , weka bei mtu ujue kama ipo ndani ya uwezo wako Click to expand... Mkuu ukiona mtu katoa tangazo na hakuweka bei ujue hajiamini na hiyo bei yake.
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Aug 4, 2012 #14 Natamani ifike siku Mungu atupe uwezo wa kujenga angani, manaake hapa ardhini naona pameshachafuka. 7m kwa 20x20? na pengine usikute ni mlima...
Natamani ifike siku Mungu atupe uwezo wa kujenga angani, manaake hapa ardhini naona pameshachafuka. 7m kwa 20x20? na pengine usikute ni mlima...
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,127 Aug 4, 2012 #15 jee hicho kiwanja kimepimwa?
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Aug 4, 2012 #16 Ndio matatizo ya madalali!
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,890 Aug 4, 2012 #17 Huyu ni dalali!
M Makumbusho Member Joined Nov 6, 2010 Posts 23 Reaction score 2 Aug 6, 2012 Thread starter #18 me sio dalali mkuu... Eneo liko safi... Utachagua mwenyewe uchukue bonden... Mliman au juuu kabisa ya mlima.. Hili ni soko hurua kaka....
me sio dalali mkuu... Eneo liko safi... Utachagua mwenyewe uchukue bonden... Mliman au juuu kabisa ya mlima.. Hili ni soko hurua kaka....
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Aug 19, 2013 #19 Makumbusho said: Viwanja vinauzwa kimara suka.... Kwa mawasiliano piga 0689531454 Click to expand... Mkuu kama una viwanja mitaa hiyo ni pm tufanye mchakato
Makumbusho said: Viwanja vinauzwa kimara suka.... Kwa mawasiliano piga 0689531454 Click to expand... Mkuu kama una viwanja mitaa hiyo ni pm tufanye mchakato