1) Kiwanja chenye urefu wa metre 45 na upana metre 25, sifa zake ni kama ifatavyo.....
2) Kiwanja chenye urefu wa metre 25 na upana 25, sifa zake ni kama ifuatavyo.....
Bei ni shilingi million 6,000,000.
If you are interested ni-PM tafadhali na utajibiwa in no time.
- Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
- kiko mita 10 kutoka barabara ndogo za mtaa.
- Umeme namaji vipo.
- Maeneo yamejengeka na yanakaendelea kujengeka.
2) Kiwanja chenye urefu wa metre 25 na upana 25, sifa zake ni kama ifuatavyo.....
- Kiko umbali 1 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
- kiko mita 15 kutoka barabara ndogo za mtaa.
- Umeme na maji vipo.
- Maeneo yamejengeka na yanakaendelea kujengeka.
Bei ni shilingi million 6,000,000.
If you are interested ni-PM tafadhali na utajibiwa in no time.