JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila Square mita 1 ni Tsh 8000/=. Gharama hiyo inajumuisha gharama zote ambazo tayari ziko kwenye process mpaka kupata title deed yako. Piga simu 0776278401 sasa kwa maelezo ya kina.