Viwanja vinauzwa kigamboni

Viwanja vinauzwa kigamboni

mwachewangu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
111
Reaction score
41
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo)

Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu

KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA.

Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari


Kwa Mawasiliano.

0767-547228
 
Umesema vina "ATI YA SERIKALI" au ulimaanisha hati? Please kama ni hati ya umiliki basi ninaomba ukubwa, mahali vilipo na bei zake faster.
 
Ukubwa wa kiwanja/viwanja na eneo kilipo huko Kigamboni
 
Umesema vina "ATI YA SERIKALI" au ulimaanisha hati? Please kama ni hati ya umiliki basi ninaomba ukubwa, mahali vilipo na bei zake faster.

Vipo Karibia na Dar es salaam Zoo..
Bei Ni Milioni 8
 
Ukubwa wa kiwanja/viwanja na eneo kilipo huko Kigamboni

Vipo Karibia na Karibia na Dar es salaam Zoo, Ukubwa wa Kiwanja Unatofautiana, Na size zote Vipo Kwenye Ramani... Inategemea na Maitaji Yako. Karibu Sana Uje Uone
 
...ni vile ambavyo viko kwenye eneo la mama Anna Tibaijuka, kwa ajili ya Ujenzi wa Jiji la kisasa?

image_thumb29.png


image_thumb28.png


image_thumb27.png


Mambo yameiva kwa wakazi wa Kigamboni, hii ni sehemu ya majengo ya utakao kuwa mji mpya wa Kigamboni kwa mujibu wa Mtandao wa Wizara husika.
Eneo hili litahusu maeneo ya makazi yasasa ambayo yanakaliwa na watu. Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali la Mwaka 2008 wakazi wa kata zipatazo tano watafidiwa kuhamishwa kupisha mradi huu.
Eneo litakalo chukuliwa ni la Kigamboni likichukua zaidi ya kata tano ambazo ni Kigamboni, Vijibweni, Somangila, Mji Mwema na Kibada. Eneo hili lina wakazi wapatao 82,808 ambao watafidiwa kulingana na sheria na taratibu zilizowekwa.
Mradi huu ukikamilika mwaka 2030 utakuwa ni mji wa kipekee si tu kwa Tanzania bali kwa Afrikapia.
 
...naomba uniwekee kimoja kama kitakuwa kwenye maeneo ya ramani hii:

image_thumb21.png


image_thumb22.png


image_thumb23.png


image_thumb24.png


image_thumb25.png


image_thumb27.png
 
mkuu hiyo master plan ni kiini macho tu usije ukadhani itatokea mwakani au mtondogoo. Master plan ya jiji hili la Dar tangu ilipotolewa ushaiona ikikamilika?
Hata hao wawekezaji waje haitakaa itokee kama unavyoiona hapo. Ardhi walivyokuwa wanapenda rushwa hawachelewi kuwa wa kwanza kuiharibu hiyo Kigamboni. Subiri uone sasa picha litakapoanza. Steringi anauwawa na hapo ndo mwanzo na mwisho wa senema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom