Kuna vilivyopimwa,kuna vilivyoka katikati ya makazi ya watu-Built Up area na miundo mbinu.Na pia Bei ya anayeuza kiwanja nayo inahusika.Bei bado zina maongezi. Karibu sana.Nini kinafanya bei zitofautiane sana baina ya eneo moja na lingine ikiwa ukubwa kiwanja ni ule ule?
naweza pata kiwanja ungindoni ambacho kimekatwa sehemu ya kiwanja kingine incase tu mtu ametokea anashida ameamua kukikata kiwanja chake .Iwapo unahitaji Vyumba vya kupanga,fremu za biashara,chumba na Magari pia vinapatikana