Viwanja vinauzwa goba

Viwanja vinauzwa goba

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
279
Reaction score
35
Viwanja vya ukubwa Mita 22x20 5.5 million,

40x22 11million.

Piga 0715055577/0769055577 kwa taarifa zaidi.
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu,ila taarifa yako imekosea vitu vya msingi, mfano
  • Hivyo viwanja vina hati?
  • Kama havina hati,utamsaidia vipi mnunuzi kupata hiyo hati na baada ya muda gani?
  • Kuna huduma gani za msingi?
  • Ni umbali gani kutoka Mbezi beach tank bovu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom