Viwanja vinauzwa Goba

Viwanja vinauzwa Goba

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
359
Viwanja maeneo mbalimbali ya Goba lakini hakuna kilichombali 4km kutoka barabara ya Goba-massana
kwa ukubwa tofauti tofauti
Kwa mawasiliano
Call/Whatsapp
0719573444
1471793078226.jpg
1471793087264.jpg
1471793100631.jpg
1471793202383.jpg
 
ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia
 
ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia
Vipo vingi na size tofauti tofauti kila mtu ana priorities zake
Mpaka nijue priorities za mtu ndo naweza jua ntamrahisishiaje
 
Kuna 20x20 chenye sea view. Nipe bei. Kisiwe kilometa zaidiya 3 kutoka rami yoyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom