Sisi tunatafta appartments za NHC wewe unaturudish enzi za ujima?
Hivyo viwanja vina kesi mahakama kuu ya Ardhi,buyer bewer,naujua sana huo mgogoro,jamaa wamefidiwa alafu wanauza tena,hivi ninyi wakwere mmefanya Dsm hatimiliki yenuee.
Mama rwakatare majumba yake yamevunjwa seuze choka mbaya ya ghoba!