Viwanja vinauzwa eneo la Kunduchi (Mtongani)

Viwanja vinauzwa eneo la Kunduchi (Mtongani)

Joined
Feb 8, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Hivi viwanja vipo mjini mahala ambapo huduma za kijamii zinapatikana kwa urahisi sana.

UFAFANUZI NA BEI HUU HAPA.

ur Mita 35 na sm 60
up Mita 12 na sm 70
bei Mil 15
......................

ur Mita 14 na sm 90
up Mita 12 na sm 50
bei Mil 5
...................

ur Mita 17 na sm 70
up Mita 13
bei Mil 8
..................

ur Mita 15 na sm 40
up Mita 11 na sm 70
bei Mil 5
..................................

ur Mita 16 na sm 50
up Mita 11 na sm 20
bei Mil 5
......................

ur Mita 21 na sm 30
up Mita 13 na sm 50
bei Mil. 10.
..........................

PIGA SIMU HII 0712973820 AU 0752961189.
 
Ivyo siviwezi nataka kiwanja kama uwanja wa mpira,nataka fuga kuku,kulima bustani,na vijana wangu wapate mahali pa kucheza chandimu.Kwa hiyo nikiwa na milioni kumi chanika kunanihusu.
 
Watafute akina aunt ezekia, ray na wema saiv watamu kweli watanunua, sisi malifa kaka tuna banana kivule chakenge huko ni kama tuko jimbo la rolya
 
ur Mita 21 na sm 30
up Mita 13 na sm 50
bei Mil. 10.
Mie naona kichekesho au kuna kosa mahali. Mita 21 na sm 30? Sm? Ni 'na' au 'kwa'? Haidhuru je sm 30 au 50 kwako wewe ni sawa na ukubwa gani? TAFAKARI CHUKUA STEP!!
 
ur Mita 21 na sm 30
up Mita 13 na sm 50
bei Mil. 10.
Mie naona kichekesho au kuna kosa mahali. Mita 21 na sm 30? Sm? Ni 'na' au 'kwa'? Haidhuru je sm 30 au 50 kwako wewe ni sawa ñna ukubwa gani? TAFAKARI CHUKUA STEP!![/
QUOTE]
Its very minimal better to be neglected yaani 21.3metres
 
Kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu na cha tatu elimu.

Hivyo viganja vyako hata fremu haikai ndio unauza mil 10?
 
ur Mita 21 na sm 30
up Mita 13 na sm 50
bei Mil. 10.
Mie naona kichekesho au kuna kosa mahali. Mita 21 na sm 30? Sm? Ni 'na' au 'kwa'? Haidhuru je sm 30 au 50 kwako wewe ni sawa na ukubwa gani? TAFAKARI CHUKUA STEP!!


Sasa hapa huelewi nini? Mbona kabainisha kwa ufasaha sana?

Ila jamani elimu zenu za siku hizi mnazosoma hizi!, Aibu kwa ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa wewe umeelewa kwamba eneo la ardhi hupimwa kwa cm??? TOKA LINI? Poyoyo wewe KALAGHABAHO!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom