Viwanja vinauzwa Chanika

Viwanja vinauzwa Chanika

ChiefSkin

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
83
Reaction score
25
Kuna viwanja vya jamaa zangu vinauzwa. Kimoja kipo kigamboni mwembe mtengu kina ukubwa wa hekari tatu, nyumba ya vyumba vitatu, sebure, choo na bafu. Nyumba yote ina tiles chini pia imepakwa rangi. Ndani ya uwanja kuna kisima cha maji cha kuchimbwa na mashine. Bei ya kiwanja hiki ni milioni 430 ila maelewano yapo.

Kiwanja cha pili kipo toangoma kina ukubwa wa mita 50 kwa 70 bei ni mil 7,5 ila maelewano yapo. Cha tatu kipo kigamboni mwembe mtengu vinapimwa kulingana na hitaji la mteja bei ya kuanzia kununua eneo ni mil 3,5 . Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane PM au kwa namba 0755040485.

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom