Viwanja vinauzwa Chanika/Masantula,Nyebulu.

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Vipo kilomota chache kabla ya kufika Chanika mjini,ni vizuri kwa makazi na vipo sehemu iliyochangamka na inayojengeka kwa kasi mita chache kutoka barabara kuu ya Gongolamboto_Chanika.
Vina ukubwa wa;
~14mita/14mita=2M.
~16mita/20mita=3M.
Karibu ujipatie chako sasa,tupigie kwa 0655185973.
Aksanteni.
 
Japo hata kapicha tuuu
 
0d678955461ed1d407dafae8c77a63a8.jpg

Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 5.0M.
Maongezi yapo.
Waweza Lipia kwa Awamu Mbili.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri sana.
Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo.
1.6Km toka Hapo Chanika Stand.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom