Mwenzangu hata mm nimeishiwa pozi halafu bado serikali haikutoa mbaru umejenga juu ya bomba kuu la dawasco.
Pata ambacho kimepimwa kipo barabarani kabisa,kipo Kigamboni mwasonga karibu na mradi wa maji wa mji wa kigamboni.kina ukubwa wa Sqmt 1500,bei ni 20M.
Hii nchi kwa stori hujaizoea mkuu? Kama kumeuzwa mbona halamashauri ya Temeke ikishirikiana na private real estate companies bado wanapima na kuuza viwanja?Mkuu huko c kushauzwa kwa wamarekan au
Hii nchi kwa stori hujaizoea mkuu? Kama kumeuzwa mbona halamashauri ya Temeke ikishirikiana na private real estate companies bado wanapima na kuuza viwanja?
Huyo mmarekani kama atakuja basi itabidi anunue kwa wananchi na kwa taarifa nilizopata ekari moja itakuwa kwenye 100M.Kwahiyo changamkia ardhi mkuu achana na hizi stori za abunuasi wakati wao wanazidi kumiliki maeneo huko.
Anhaaaa safi sana mkuu, acha tujipange tuje
Wewe njoo,cha msingi ukishanunua kama una ubavu anza mchakato wa kupima fasta ili kuongeza value ya eneo.Karibu
Mimi ninavyo viwanja vilivyo pimwa kigamboni karibia na housing estate ya Sofia Simba vipo kuanzia sqm 1300 hadi sqm 2000 na sqm1 nauza 9000 tsh karibuni sana namba yangu 0714545508