- Thread starter
- #21
Mmhh kibaha huko kiwanja kilichopimwa sqm moja huwa hawauz zaid ya elf 6.000, sasa chukua hyo 20*20=400*6000 unapata 2.4m wewe hiyo zaid ya mil 8 umeitoa wap??
kibaha sehem gani lakini??
mimi nazungumzia Kibamba mpakani na Kibaha sehem ambayo mahitaji yote yanapatikana Dar