Mambo ya Mworombo Arusha hayonina laki nataka miguu mitano kwa mitano nijenge chumba kinoja vip
nina laki nataka miguu mitano kwa mitano nijenge chumba kinoja vip
Kwa laki mbili naweza pata ukubwa gani?
Ok bei mwisho ni ngaphuwezi kupata kwa lak mbili
Ok bei mwisho ni ngap
Poa mkuukumbuka mkuu hii ni mita 20 kwa 20 na sio futi wala miguu.
Eneo lipo ktk mchakato wa upimwaji na serikali. Kiwanja cha size hiyo kilichopimwa si chini ya 8m. Hivo bei haiwezi kupungua zaid ya hapo. Ukitaka 15 X 20 kimebaki kimoja nitakupa kwa 1.6m
aah mtalaamu fanyafanya mtaalamu angalia namna ujue wewe mtaalamu mi nakuamini sana ujue ebu angaliaangalia kanamna kidogo eeebwanaa eeh tumia kaujanja kidogo we ni mtaalamu mkubwa sanahaiwezekani kupimwa na serikali hiyo size
Ok bei mwisho ni ngap
hiyo bei haina udalali unalipa unapimiwa na kupewa.....saaana naweza kukutolea 50,000/-Ok bei mwisho ni ngap
kutoka mbezi shuka Kibamba njia panda shule then kuna hiace na bajaji zinaenda sehem inaitwa Kibwegere sh.500/- ukifika hapo unaweza kutembea au kuchukua bodaboda sh.1000/- unafika site-Nipe direction vizuri.
Kama nina private......na mjumbe wa kule anaitwa nani. Ili tukifika tumuulizie.kutoka mbezi shuka Kibamba njia panda shule then kuna hiace na bajaji zinaenda sehem inaitwa Kibwegere sh.500/- ukifika hapo unaweza kutembea au kuchukua bodaboda sh.1000/- unafika site-
kama una private unafika hadi site bila tatizo.Kama nina private......na mjumbe wa kule anaitwa nani. Ili tukifika tumuulizie.
Noted Mr. Wise.Mkuu ukiwa site share location tujionee tulio mbali
kumbuka mkuu hii ni mita 20 kwa 20 na sio futi wala miguu.
Eneo lipo ktk mchakato wa upimwaji na serikali. Kiwanja cha size hiyo kilichopimwa si chini ya 8m. Hivo bei haiwezi kupungua zaid ya hapo. Ukitaka 15 X 20 kimebaki kimoja nitakupa kwa 1.6m