Hahahahaa...nikusaidie tu, maeneo ya Ngulelo na Meru...zipo kwenye Ecologia ya Arusha National Park...afu ni Mountanious region. Jamani wasomi wenzangu...hv maeneo yaliyo karibu na milima...inatabia gani?? Huyu MSOMI anataka kutuambia...tutarajie hayo maeneo yafanane na maeneo tambarare. Na umbali wa Ngulelo na A to Z haifiki hata 15Km. Hzo mvua zinazopita Mt Meru unataka kuniambia haifikagi Kisongo????naona umemaind sana, hii biashara ya udalali huiwezi kama huna hoja, Arusha yote tunaifahamu, hivi maeneo hayo utalinganisha naNgulelo, kwa Mrefu na Meru?
narudia..hilo eneo ni jangwa haijalishi kuwa maji ya bomba yanapatikana
Lete hoja nyingine Mzee...hii ni batili. Sorry...Wana JF kwa mjadala huu...coz lazima ifike mahala tuambiane UKWELI...kwani utatuweka....HURU, kuja na kuliona eneo husika.I think to my opinion, you needed to be send to Court to prove your statement beyond all reasonable doubt!!
Mkuu hatuangalii kuwa na pesa mkononi...9millioni...ishu ni bei. Kwa hela yako Mkuu...hatatosha, milioni 8 haitoki. Mwenye milioni 9.5 tunaweza kujadili naye.Ila ungeuza kwa 3m saiz ingekuwa tayari una milion 9 zako mkononi Mana tushajitokeza watatu wakwanza wahyo Bei, ila poa ukiiona inafaa nistue tuyajenge
We uelewe ujumbe wangu muda wake ukifika uufanyie Kaz mzeeMkuu hatuangalii kuwa na pesa mkononi...9millioni...ishu ni bei. Kwa hela yako Mkuu...hatatosha, milioni 8 haitoki. Mwenye milioni 9.5 tunaweza kujadili naye.
Sawa Mkuu nimekusoma...We uelewe ujumbe wangu muda wake ukifika uufanyie Kaz mzee
Ikifika 7m uniambie.Barabara ya East Africa inapita karibu na uwanja wa Ndege Kisongo Arusha...ambayo ipo umbali wa takriban 6Km.
Sawa Mkuu...ongeza dau, mbona upo karibu sana!!Ikifika 7m uniambie.