Viwanja vinauzwa Arusha-DC

Viwanja vinauzwa Arusha-DC

Ole-Sabaya

Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
26
Reaction score
14
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 3Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 25Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248
 
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 2Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 7Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248

Daah Arusha kumbe mambo matamu hivi Huku wanatuuzia 35,000 kwa sqm ni shida
 
NDURUMA? 7KM TOKA ARUSHA MJINI? UONGO ULIOTUKUKA KABISA - ARUSHA MJINI MAANA YAKE NI CLOCK TOWER, THEN NDURUMA INAKUWAJE 7KM FROM ARUSHA MJINI? MPAKA MASAI CAMP YENYEWE NI ZAIDI YA 7KM
 
Kuna umbali wa eneo mara mbili, kwa kutumia gari au chombo chochote cha moto au miguu na pili, kwa kutumia GPS. Hii ya pili, inakupa accurrancy ya umbali ktk straight line. Na ndo chombo cha kisasa cha kutoa umbali halisi la eneo...Hivyo, usinibishie nilichokiandika.
 
loh, kwaiyo wahusika watakua wanapaa na gari za hewani in a straight line kwa 7km kufika nyumbani nduruma kutoka kazini arusha mjini . 2070 labda!
 
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 3Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 25Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248
Hivyo Viwanja ni mali ya Halmashauri ya wilaya ya Arusha (Arusha DC) au vya mtu binafsi?

Pia nakushauri ambatanisha na picha kadhaa tuone sura ya nchi miinuko, mabonde au tambarare.
 
Nakuhukuru sana Mkuu...hivyo viwanja ni za mtu binafsi. Zipo ktk uwanda tambarare...ila picha pia nitaweka
 
ni za kwako?au wewe ni dalali?nahitaji 40 by 40
 
Za kwangu Boss... Zipo poa sana Mkuu. This is ur tym...to get the cheapest plot in Arusha ever!! Karibu sana, Piga 0786224248.
 
mdau wambie watu ukweli, nduruma ni mbali auwezi sema karibu na chuo cha mandele, unaweza kosa mteje kwa kutokuwa mkweli
 
Dah wana Arusha neema hiyo,ingekuwa DSM kwa bei hii ningechukua 1000sqm
 
Daah Arusha kumbe mambo matamu hivi Huku wanatuuzia 35,000 kwa sqm ni shida
Acha upotoshaji wapi huko. Bei ya maeneo yaliyopimwa hupangwa na Kamishina wa ramani na si Halmashauri husika. Hakuna mahara hapa TZ ambapo COM alishapanga 35,000/Sqm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom