josewatano Member Joined Sep 20, 2011 Posts 59 Reaction score 26 Nov 20, 2012 #1 viwanja vinne vyinavyolusu makazi ya kawaida vimepimwa kabisa na vipo karibu na miundo mbinu maji barabara umeme vipo mwanza mjini eneo la buhongwa bei kuanzia mil 8 mpaka 10 anayeitaji ani PM miye si dalali
viwanja vinne vyinavyolusu makazi ya kawaida vimepimwa kabisa na vipo karibu na miundo mbinu maji barabara umeme vipo mwanza mjini eneo la buhongwa bei kuanzia mil 8 mpaka 10 anayeitaji ani PM miye si dalali
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Nov 21, 2012 #2 Buhongwa ni mjini?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,808 Reaction score 110,047 Nov 21, 2012 #3 Mwanza kiwanja milioni 8 halafu Buhongwa, duh!!!
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Nov 21, 2012 #4 Buhongwa ni Usagara kabisa. 3mil ni halali
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,808 Reaction score 110,047 Nov 21, 2012 #5 Nyakageni said: Buhongwa ni Usagara kabisa. 3mil ni halali Click to expand... mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa...
Nyakageni said: Buhongwa ni Usagara kabisa. 3mil ni halali Click to expand... mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa...
Bob Lee Swagger JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 1,362 Reaction score 519 Nov 21, 2012 #6 watu8 said: mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa... Click to expand... nyegezi sehem gani mkuu? manake wadau wanasema nyegezi ni ghali sana!
watu8 said: mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa... Click to expand... nyegezi sehem gani mkuu? manake wadau wanasema nyegezi ni ghali sana!