Viwanja vilivyopimwa Visiga-Kibaha

Viwanja vilivyopimwa Visiga-Kibaha

Joined
Jul 24, 2016
Posts
6
Reaction score
3
Habari ndugu,

Kama unawaza kujenga ya makazi yako ya kudumu anza kununua kiwanja kwanza.
Na kama unawaza kufanya uwekezaji wa kudumu anza kuwekeza kwa kununua kiwanja kwanza.

Hakika ukiyanyafanya hayo mambo mawili kwanza utakuwa umejiwekea msingi bora kabisa katika maendeleo yako ya baadae.

Swali linakuja sasa ni wapi nitanunua kiwanja salama na kilichopimwa? Tena kwa bei nafuu!

Nakushauri rafiki yangu, nunua kiwanja kutoka Kampuni ya Jezinga Properties Ltd. maana wana viwanja vizuri sana vilivyopimwa pale Visiga-kibaha na vinauzwa kwa installment ya mwaka mpaka mwaka na nusu bila riba yoyote na unapewa na hati ndani ya gharama hiyo hiyo utakayolipia.
Mimi pia nimenunua kiwanja kupitia hawa jamaa na tayari nina hati yangu mkononi.

Epuka viwanja vya riba, matapeli na usumbufu kibao.

Ukitaka kujua mengi zaidi au kushikilia kiwanja chako mapema na kupelekwa site bure kabisa wafuate kwenye jukwaa lao la WhatsApp;

JEZINGA PROPERTIES LTD

Wahi viwanja ni vichache usije ukakosa maana viko karibu sana na barabara ya morogoro road ndo maana vinagombaniwa sana, pia wanakupeleka site bure bila gharama yako.

Pia waweza kuwasiliana nao kupitia namba zifuatazo;
Cell: +255 655 009861
WhatsApp: +255 625 513325

Uzuri wa maisha yako ya baadae, yatategemeana na maamuzi yako ya utekelezaji wa mambo yako ya sasa hivi.
 
Mkuu Viko Umbali gani kutoka Morogoro Road?
 
Mbona maneno ni mengi sana kuliko maelekezo mpaka tunaona kama tunataka kupigwa bwana. Kama una viwanja unauza eleza viko wap umbali gani kutoka barabara kuu vina ukubwa gan na ni tsh ngap. Sasa ndug yangu una maneno mengi mno kuliko maelekezo. Au nyie ni wapigaji mnataka kupiga watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom