salaam, wana jukwaa!
viwanja vilivyopimwa na serikali vinapatikana ndani ya mwanagati, kitunda (wilaya ya ilala).
viwanja vipo viwili na vyote vina hati miliki (title deed) ya eneo husika.
located in block 2
kiwanja cha kwanza
square meters 596 (meter 30*19)
kipo block 2
price: 25m
kiwanja cha pili
square meters 848 (30m*25)
kipo block 2
price 30m
note: viwanja vyote vipo sehemu moja na n mmiliki ni mmoja hivyo kama unauwezo una uwezo unaweza kuchukua vyote kwa pamoja.
pia kuna viwanja ambavyo ni squatters
vipo kitunda (kibeberu)
kiwanja cha kwanza
square meter 625 (25m*25)
price: 7m
square metee 425
price: 4m
ili kufika kwenye eneo husika unaweza kupitia njia ya airport, then unaingilia banana mpaka kitunda (njia yote ni lami) au pia unaweza kupitia njia ya buza ukatokea mwanagati.
contact : 0756 832833