Pata viwanja vya makazi, makazi biashara na biashara.
Vipo Kutonga wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani km 7 kutoka Mkuranga mjini.
Bei Makazi:TZS 5500/sqm
M/Biashara:TZS 6000/sqm
Biashara:TZS12,000/sqm
Kwa mawasiliano piga namba 0762474188 ,0712309565 & 0655571440
Email:kitongaproject@gmail.com
Nineambatanisha approved survey plan.
Karibuni Sana.
Kwenye rangi nyekundu ndipo viwanja vilipo. .
Nimeweka ramani kuanzia Vikindu ili ilete picha kamili ya eneo lilipo.
Asanteni
Hello Mkuu
Kuhusu barabarani ipo inayofika hadi kwenye viwanja.
Umeme na maji pia yapo 2.5km.. Ila ni sehemu inayokua hivyo haitakuwa taabu huduma kufika kwenye makazi.
Note ;Eneo lipo 2.5 kutoka barabara ya rami.
Aksante