Habari zenu wana jf jamani kunaviwanja vinauzwa hatua za mtu mzima 20 kwa 20 nyuma ya Azam cola kilongoni vikindu ni 5 km toka pale Azam cola na ni 25km toka sokoni kariakoo bei ni Tshs 2000,000/ kwa atakae ani pm pia gari inafika hadi katika viwanja

Vikindu KURANGA ndiyo wapi huko
Vikindu KURANGA ndiyo wapi huko
Nikitaka kuja kuviona nafuata njia inayokwenda Mwanzo Lodge au ile tunayotumia kuwakwepa traffic?
Bado mtego huo ni wapi Musoma
no havija pimwa ila vipo kimtaa na gari inafika hadi katika viwanjaVimepimwa na serikali au squeter area?