W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Nov 22, 2013 #1 Ndugu zangu naomba kujua sehemu gani Mbeya naweza pata kiwanja kwa Mil.1 au 2
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Nov 22, 2013 #2 Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii.
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,828 Reaction score 1,860 Nov 23, 2013 #3 Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Kwani unaishi Mbeya?
Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Kwani unaishi Mbeya?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Nov 25, 2013 #4 Siishi mbeya ila nina mji huko; na niko karibu sana na mbeya. CORAL said: Kwani unaishi Mbeya? Click to expand...
Siishi mbeya ila nina mji huko; na niko karibu sana na mbeya. CORAL said: Kwani unaishi Mbeya? Click to expand...
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Nov 25, 2013 #5 Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Viwanja kila sehemu siku hizi ni bei. Hiyo milioni moja ndo kwaanzaaa inaishia kwa madalali. Mwambie atafute hela ya kiwanja sasa.
Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Viwanja kila sehemu siku hizi ni bei. Hiyo milioni moja ndo kwaanzaaa inaishia kwa madalali. Mwambie atafute hela ya kiwanja sasa.
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,606 Reaction score 11,609 Nov 25, 2013 #6 Waambi said: Ndugu zangu naomba kujua sehemu gani Mbeya naweza pata kiwanja kwa Mil.1 au 2 Click to expand... We ndugu. Kiwanja kwa 1m jijini? No way Anzia 6m kwenda juu
Waambi said: Ndugu zangu naomba kujua sehemu gani Mbeya naweza pata kiwanja kwa Mil.1 au 2 Click to expand... We ndugu. Kiwanja kwa 1m jijini? No way Anzia 6m kwenda juu
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,163 Reaction score 4,298 Oct 29, 2017 #7 Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Kuna mdau kapata kiwanja Kule ITUHA Kwa milioni moja na kitu yaani 2m kasoro ivi Ila hakijapimwa
Mamndenyi said: Mmmmh, hata kule ituwa sijui kama utapata kiwanja cha bei hiyo, mbeya ina thamani sana miaka hii. Click to expand... Kuna mdau kapata kiwanja Kule ITUHA Kwa milioni moja na kitu yaani 2m kasoro ivi Ila hakijapimwa