V Viwanja na Nyumba Member Joined Apr 4, 2012 Posts 56 Reaction score 3 Apr 11, 2012 Thread starter #61 The Boss said: mekuuliza muanzisha thread nimejibiwa na mwingine sijui ndo wewe mtu mmoja au nielewe vipi? Click to expand... The Boss, aliyekujibu hakukosea ndio maana nikawa kimya. Kazi ya upimaji viwanja inafanyika kupitia watendaji mahiri tunaoshirikiana nao kwa karibu sana. Karibuni wote, 'Viwanja na Nyumba'
The Boss said: mekuuliza muanzisha thread nimejibiwa na mwingine sijui ndo wewe mtu mmoja au nielewe vipi? Click to expand... The Boss, aliyekujibu hakukosea ndio maana nikawa kimya. Kazi ya upimaji viwanja inafanyika kupitia watendaji mahiri tunaoshirikiana nao kwa karibu sana. Karibuni wote, 'Viwanja na Nyumba'
V Viwanja na Nyumba Member Joined Apr 4, 2012 Posts 56 Reaction score 3 Apr 11, 2012 Thread starter #62 Shark said: Unabusika pia Na upimaji???? Click to expand... Shark, unaweza kupimiwa kiwanja chako kupitia watendaji mahiri wenye utaalamu wa upimaji na ramani tunaoshirikiana nao. You are all warmly welcome, 'VIWANJA NA NYUMBA'
Shark said: Unabusika pia Na upimaji???? Click to expand... Shark, unaweza kupimiwa kiwanja chako kupitia watendaji mahiri wenye utaalamu wa upimaji na ramani tunaoshirikiana nao. You are all warmly welcome, 'VIWANJA NA NYUMBA'
V Viwanja na Nyumba Member Joined Apr 4, 2012 Posts 56 Reaction score 3 May 11, 2012 Thread starter #63 'VIWANJA NA NYUMBA' tunawapa pole wote waliojenga mabondeni, hasa kutokana na adha ya mafuriko katika kipindi hiki cha mvua. Wasiliana nasi kwa mahitaji ya viwanja, mashamba, nyumba na maeneo ya uwekezaji nchini Tanzania. Email: viwanjanyumba@gmail.com
'VIWANJA NA NYUMBA' tunawapa pole wote waliojenga mabondeni, hasa kutokana na adha ya mafuriko katika kipindi hiki cha mvua. Wasiliana nasi kwa mahitaji ya viwanja, mashamba, nyumba na maeneo ya uwekezaji nchini Tanzania. Email: viwanjanyumba@gmail.com