Mita 30*30 au 30*40 bei zipoje? Kiwe sehem nzuriWasalaam wana forum, kwa mahitaji ya Nyumba, kiwanja na mashamba! Usisite kuwasiliana nami!
Viwanja na nyumba zipo kwa bei tofauti tofauti kulingana na uhitaji wako, kama upo interested kwa maeneo hayo wasiliana nami kwa 0743941142!
Wasalaam wana forum, kwa mahitaji ya Nyumba, kiwanja na mashamba! Usisite kuwasiliana nami!
Viwanja na nyumba zipo kwa bei tofauti tofauti kulingana na uhitaji wako, kama upo interested kwa maeneo hayo wasiliana nami kwa 0743941142!
Una maana gani kusema maji bure?Ipo Makongo juu,400k vyumba viwili, sebule, jiko na choo! Ndani ya fence maji buree!
Kwa hiyo bei huwezi pata mkuu wangu! Dada yangu juzi kapata house Kunduchi Mtongani Tshs 130,000/= (sema elfu mia moja na thelasini tu) vyumba viwili kimoja master na sebele kubwa na public toilet na hiyo toilet ipo ndani!! Jiko nalo ni zuri tu!Ipo Makongo juu,400k vyumba viwili, sebule, jiko na choo! Ndani ya fence maji buree!
Ipo Makongo juu,400k vyumba viwili, sebule, jiko na choo! Ndani ya fence maji buree!