Viwanja na mashamba vinauzwa

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa

a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 4,500,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 4,000,000/=

*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.

VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE

CONTACT; 0717288306.
 
Umesema Mashamba na Viwanja, mbona hapa unaweka Viwanja tu??
 
Sio mwenyeji sana wa huko, vipi Magari yanafika? Kama daladala hasa hivo viwanja vya ilala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…