Viwanja Morogoro mjini kwa bei chee!

Viwanja Morogoro mjini kwa bei chee!

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
148
Habari JF!
Kwa niaba ya wamiliki, napenda kutangaza kuwa nina viwanja viwili vilivyopimwa na vyenye detailed documents zote hapa moro mjini ninauza,

cha kwanza :
kipo Kilakala umbali wa mita 170 kutoka geti la kilakala girls secondary school. Kipo kando ya barabara kuu ya kilakala-mjini. Kiwanja kina ukubwa wa 735 square meters. Umeme na maji uhakika. Bei yake ni 15million tu!

Cha pili:
Kiwanja kipo Lukobe mwanzo kama mita 300 kutoka barabarani zinapopita daladala za lukobe-Mjinini. Kiwanja kinafikika kwa gari umeme upo jirani (utahitaji nguzo moja) kina ukubwa wa 672 square meters. Bei yake ni 5.6 millions tu.
Kwa ajili ya maelezo zaidi, kuviona na kununua tafadhali wasiliana nami kupitia 0762494688.
 
asante mi nataka shamba kuanzia ekari 15 na kuendelea
 
hicho cha lukobe mwanzo kimepimwa? kipo karibu na shule ya mjimpya? naomba nijue sehemu ambapo kipo au pale mazimbu road?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom