The_Analyst
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 243
- 86
Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko????
Na msata je?
Atakae kiwanja maeneo hayo ya vikindu kilongoni anitafute email threecat34@hotmail.com kilongoni ipo 25km kutoka city center na nisehemu ambayo watu wanajenga kwa kasi sana ni nyuma ya Azam cola km 5 kutoka kilwa road mm sikuambii utani huko watu wanajenga sana karibu ujionee mwenyewe na ununue viwanja kwa bei nafuu
Mm najua bei na kuna mtu anataka kuniuzia but kwa sasa sina hela.call me at 0718 908594
Atakae kiwanja maeneo hayo ya vikindu kilongoni anitafute email threecat34@hotmail.com kilongoni ipo 25km kutoka city center na nisehemu ambayo watu wanajenga kwa kasi sana ni nyuma ya Azam cola km 5 kutoka kilwa road mm sikuambii utani huko watu wanajenga sana karibu ujionee mwenyewe na ununue viwanja kwa bei nafuu
Sa si utoe bei tatizo nn?acheni ushamba ths is forum heshimuni hilo basi
mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani
Heka 2 naweza naweza kupata kwa bei gani mkuu???Mimi sina email so nimeamua niulize hapa jamvini
Sa si utoe bei tatizo nn?acheni ushamba ths is forum heshimuni hilo basi
Weka bei ili tangazo lako lijitosheleze.
Wasalaam wana-JF,
Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu.
Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa.
Natanguliza shukrani.
Nitakucheki nikiwa fresh mkuu