Hivyo havina hati ya wizara, Maudhiano Serikali ya Mtaa.
Mwenyekiti wa Mtaa ni Mtu safi anaaminika, alafu hapo kuna viwanja vingi vya mmiliki mmoja kwaiyo hamna longolongo biashara imenyooka

Square meter 400 ni eneo dogo kwa kujenga nyumba ya chini labda ujenge ghorofa. Wizara ilipiga marufuku upimaji wa viwanja chini ya square meter 600 kwa maeneo ya pembezoni.