Viwanja mbezi msakuzi vya bei nafuu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja mbezi msakuzi vya bei nafuu sana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mpendaMaendeleo, Feb 14, 2012.

 1. mpendaMaendeleo

  mpendaMaendeleo JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Viwanja mbezi msakuzi vinauzwa
  mita 22*22 mil 3, 22*25 mil 3.5 and 26*40 mil 6
  umeme upo na barabara nzuri mpaka viwanjani
  (piga 0715055577 au 0769055577 kwa taarifa zaidi)
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hii Mbezi Msakuzi ipo wapi? Ni jina geni kwangu! Ni mbezi ipi?
   
 3. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbezi ya kimara unapita mbezi kwa yusuph
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu vimepimwa na vina hati miliki?
   
Loading...