Viwanja mbezi luis vinauzwa vya bei nafuu sana.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja mbezi luis vinauzwa vya bei nafuu sana....

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mwanaWaafrika, Jun 30, 2011.

 1. m

  mwanaWaafrika Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 22*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
  UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0718334726).
   
 2. s

  sirhomy New Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamii ebu rekebisheni hii style eti kusoma tangazo hadi utoe comment ndio uone jamaa kaelezea nn sijaipenda binafsi
   
 3. m

  mwanaWaafrika Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 22*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
  UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
   
 4. Kamtori

  Kamtori Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  How? Where exactly??
   
 5. e

  elliangenenga New Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vimepimwa?
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu viwanja vimepimwa ?
   
 7. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sema mbezi luis wapi? tunajua watu mnachanganyaga sana maeneo hatuwaamini hadi useme exactly labda karibu na shule flani, au masjid flani au kanisa flani etc
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Bei poa sio mbaya hata kama havijapimwa is ok
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Nahitaji mita 22*30/25*25/25*30,kama vipo nifeedback
   
 10. m

  mwanaWaafrika Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu, havijapimwa .
  Viko kilomita 3 kutoka morogoro road unaingia upande wa kulia ukitokea mjini kabla ya kituo cha daladala
  cha mbezi mwisho.
  barabara ya mbezi luis- Goba - mbezi beach(tangibovu)
   
 11. m

  mwanaWaafrika Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 23*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
  UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
   
 12. m

  mwanaWaafrika Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 23*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
  UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
   
 13. m

  mwanaWaafrika Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viko 2.5km tu kutoka morogoro road upande wa kulia ukitokea mjini
  (barabara ya mbezi mwisho - Goba - Tangi bovu,Mbezi beach) kabla ya stend ya mbezi mwisho....
   
 14. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vina Hati mkuu.
   
 15. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Maji je?
   
 16. m

  mwanaWaafrika Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maji ya mchina yapo kama 1/2 km hivi......
  hati havina.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Mkuu haviko kwenye Plan ya Serikali maana maeneo hayo yana utata sana
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umbali gani kutoka barabara ya moro??
   
Loading...