Viwanja/Mashamba yanauzwa

Viwanja/Mashamba yanauzwa

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,742
viwanja vya ukubwa kuanzia metre 17.5 hadi heka 30 vinauzwa Moshi
klmanjaro

Viwanja hivi unaweza kujenga nyumba kwa ajili ya makazi au kupangisha unaweza kujenga sheli shule , hospital na hoteli

viwanja vingi havijapimwa (vipo vilivyopimwa ila bei yake ipo juu kidogo)
Bei za viwanja /mashamba
bei za viwanja /mashamba ni kuanzia mil 2 hadi 30 kwa heka ( inategemea na eneo kilichopo

siku za kwenda kuangalia na kutathmini ni kuanzia ijumaaa jumamosi na jumapili (full time)
siku za kazi ni kuanzia saa 7 mchana (this include disturbance allowance)

viwanja hivi vipo katika maeneo yafuatayo Kibororoni Msaranga Sango, Pumwani, Mjohoroni ,Kawawa uchira njiapanda himo chekereni na popote utakapohitaji!
hakuna udalali unaofanyika (unapelekwa hadi kwa mwenye kiwanja au shamba)zaidi ya kulipia hela ya kuiwezesha ofisi

0621068486
0658825141
tumia namba ya halotel ndo inapatikana kwa muda mwingi
 
Kibororoni viko umbali gani kutoka barabarani?
 
kuna kilchopo kwa alfonce pale mjini kabisaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom