Viwanja kwenye lami Chanika vinauzwa

Viwanja kwenye lami Chanika vinauzwa

Vinatazama lami,haviko kwenye hifadhi ya barabara,ukubwa ni kama viko sawa Mita 20 kwa 18(vinaweza zidi kidogo au kupungua kidogo) maana eneo haliko even ila ni tambarale
 
Vinatazama lami,haviko kwenye hifadhi ya barabara,ukubwa ni kama viko sawa Mita 20 kwa 18(vinaweza zidi kidogo au kupungua kidogo) maana eneo haliko even ila ni tambarale

Sasa kinachofanya bei iwe tofauti ni nini kama vina ukubwa sawa?

Unaposema vinatazama barabara una maana baada ya hifadhi ya barabara ndio vinafuata viwanja?
 
umbali kutoka njia kuu(lami) 30m umeuzingatia? usije ukawauzia watu barabara ya tanroad.
 
kuweni makini mimi namiliki viwanja kadhaa vya serikali huko chanika buyuni,nilinunua wizarani miaka kadhaa iliyopita wakati wa mradi.Juzi wakati wa pasaka niliamukupeleka mafundi kwa ajili ya site survey ya moja ya viwanja.nilikuta matapeli wamewauzia watu,nilichofanya nikuzungusha uzio kote jumapili nimeenda nimeambiwa watu walikuja kuangalia viwanja vyao feki wakakuta uzio wakaanza kuangua vilio tu
maeneo kama chanika ukinunua jaribu kufanya mawasilano na ofisi ya kata hasa afisa mtendaji atakusaidia kujua kamaumetapeliwa au la!!!
 
vinavyotazama lami ni Tsh 4.5m,nyuma yake ni 3.5m,mwisho kabisa ni 2.5m(kimebaki kimoja)
 
manunuzi hayafanyiki bila kuhusisha Serikali za mitaa,wajumbe, majirani n.k,usitengeneze hofu kwa wahitaji wa kweli,hao waliolizwa labda walinunua viwanja wakiwa kariakoo au maeneo mengine,ununuzi unafuata taratibu za kununua ikiwa ni pamoja na kuhusisha vyombo husika kama nilivyoainisha hapo juu,wanunuzi wa kweli karibuni.

Chanika Holdings.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom