Mangi wa Rombo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 202
- 138
Ndio, ni Viwanja ambavyo vinamilikiwa na watu! Vina hati zenye utambulisho wa viwanja na wamiliki halalihuko kihonda viwanja vimepimwa??
Ndio, ni Viwanja ambavyo vinamilikiwa na watu! Vina hati zenye utambulisho wa viwanja na wamiliki halali
Baada ya "minara mitatu" kituo kinachofuata ni "makunganya" then "kwa mwarabu" Hapo Makunganya na Kwa Mwarabu ndipo viwanja vilipo!Mkundi maeneo gani, baada ya kituo cha mafuta cha kwanza au kile cha pili baada ya mizani? au kule minarani?
Kwa kweli huduma ya maji huku bado haijafika ila umeme na usafiri uhakika!kuna maji huko nje ya mji?
Kwa upande wa kilakala Viwanja vimeisha!vya kilakala bado vipo? Bei zake vipi?
Mkuu eneo lote baada ya nyumba za wafanyakazi mpaka Kola-makaburini linamilikiwa na shirika la reli! Kwa upande wa kiwanja kinachoangaliana na eneo la area 5 Kinamilikiwa na kanisa ambalo wamelijenga mwisho kwenye kona ya njia panda ya 8-8! Nadhani ni Walokole (Protestants) kama sikosei! Usijali! Morogoro ni mji unaokuwa kwa kasi zaidi kwa sasa!MangiWaRombo Dalali Mkuu wa Ardhi ndani ya mji kasoro bahari hongera kwa habari nzuri kama hizi. Hivi lile eneo la Ninja mara baada ya Quater za Reli kuja huku yalipo yale mafrem ya maduka mengi, linamilikiwa na nani mpka huku Area five chini. Je plot ya lower density ni milioni ngapi!? Na sasa mkiuza viwanja basi mkumbuke na kujenga nyumba za kisasa kwenye hivyo viwanja ili mji uwe na mandhari ya majengo yenye hadhi. Mfano jengo hili ni la vyumba vitatu tu na linafaa katika kiwanja cha 15x20.
Yap! Upande wote wa juu wa 8-8 kuanzia "mji mwema" "tubuyu" plot zipo lakini zina bei kidogo manake kumeanza kujengeka!Haya mkuu tutakuja kujenga huko vipi kanda za Tubuyu kuna plot za lower density!?
Watu wengi wanani-PM kutaka kujua nauli ya kutoka town mpaka mkundi! Jaman nauli ni 800/= Tshs tu! Kwa bodaboda ni 2500-3000/= Tshs!
Kaka ni mkundi kwa Makunganya na Kwa Mwarabu, sio pale zinapoishia hiace!Mkuu mjini-mkundi nauli ni 600/= nilikuwa huko Leo.