Uku kibaha nikama uzoa tu. Kuna eka 3 milion 15. Kuna robo eka na trip6 za mchanga milion tsh 5.5. Ekari 1 milion 7. Kuna 21x 30. Tsh mil 3.8 Sehemu zingine bei Maelewano
Eneo la shule ekari 13 lipo Kibaha Miembe Saba, mita 700 toka Morogoro Road bei Milion 180.
Jingine ekar 30 lipo km 5, toka Morogoro Road bei Mil 190.
Jingine ekari 3 limegusha Morogoro Road bei mil 200.
Uku kibaha nikama uzoa tu. Kuna eka 3 milion 15. Kuna robo eka na trip6 za mchanga milion tsh 5.5. Ekari 1 milion 7. Kuna 21x 30. Tsh mil 3.8 Sehemu zingine bei Maelewano
Hapo kwenye red pamepimwa na pako umbali gani kutoka barabarani, je huduma muhimu (maji, umeme barabra) zipo? Kama una kingine chenye sifa kama hizo itafaa pia?