Viwanja Bunju Mabwepande

Viwanja Bunju Mabwepande

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
263
Reaction score
337
Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande

Vipo kwenye eneo la ekari 1

Umeme na maji yamefika site

Vinakatwa ukubwa kuanzia

Mita 20x20 bei mln 4.2

Mita 20x25 bei mln 4.5

Mita 20x30 bei mln 5

Pia size unayotaka utauziwa

0775 179905
Screenshot_20250819_154055_WhatsApp.jpg
Screenshot_20250819_153707_WhatsApp.jpg
Screenshot_20250819_153705_WhatsApp.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250819_153915_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250819_153915_WhatsApp.jpg
    153.6 KB · Views: 26
Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko?
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha
 
Huko Kuna migogoro balaa juzi juzi tu hapa raia wamechoma nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa
Mkuu unataka kuniambia mwambepande kuna mtaa mmoja na mwenye kiti mmoja tu?Maeneo yako yakutosha yaliyo halali na yasiyo na migogoro muhimu ni mtu kujiridhisha kabla ya kufanya manunuzi
 
Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha

Oh okay sawa!! Je eneo hili limepimwa tayri na kupata HATI ya wizarani? Ili kujiridhisha Asante.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei hiyo naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom