chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,627 Sep 28, 2013 #1 wakuu nauza viwanja vyangu viwili vyenye ukubwa wa ekari mbili kila kimoja! Viwanja vipo bagamoyo mkoa wa pwani,. Bei ni shilingi milioni moja na nusu kwa kila ekari moja,. Tuwasiliane PM.
wakuu nauza viwanja vyangu viwili vyenye ukubwa wa ekari mbili kila kimoja! Viwanja vipo bagamoyo mkoa wa pwani,. Bei ni shilingi milioni moja na nusu kwa kila ekari moja,. Tuwasiliane PM.
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,818 Sep 28, 2013 #2 Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Sep 28, 2013 #3 samora10 said: Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa? Click to expand... Sawa mkuu tunujue ni bagamoyo ipi maana hata lugoba ni bagamoyo
samora10 said: Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa? Click to expand... Sawa mkuu tunujue ni bagamoyo ipi maana hata lugoba ni bagamoyo
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,627 Sep 28, 2013 Thread starter #4 MANI said: Sawa mkuu tunujue ni bagamoyo ipi maana hata lugoba ni bagamoyo Click to expand... eneo linaitwa fukayosi, si mbali na bagamoyo mjini mkuu!!!
MANI said: Sawa mkuu tunujue ni bagamoyo ipi maana hata lugoba ni bagamoyo Click to expand... eneo linaitwa fukayosi, si mbali na bagamoyo mjini mkuu!!!
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,627 Sep 28, 2013 Thread starter #5 samora10 said: Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa? Click to expand... utaratibu wa kuvipima unaendelea mkuu, ondoa shaka
samora10 said: Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa? Click to expand... utaratibu wa kuvipima unaendelea mkuu, ondoa shaka
Kilimo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 777 Reaction score 194 Sep 28, 2013 #6 bagamoyo kutajengwa bandari na wachina, fulsa zitakuwa nyingi, ngoja tujisogeze huko.!
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,627 Sep 28, 2013 Thread starter #7 isuto said: bagamoyo kutajengwa bandari na wachina, fulsa zitakuwa nyingi, ngoja tujisogeze huko.! Click to expand... karibu sana bagamoyo mkuu!!
isuto said: bagamoyo kutajengwa bandari na wachina, fulsa zitakuwa nyingi, ngoja tujisogeze huko.! Click to expand... karibu sana bagamoyo mkuu!!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Sep 28, 2013 #8 chakii said: karibu sana bagamoyo mkuu!! Click to expand... Hilo shamba liko umbali gani kutoka kwennye miundombinu?
chakii said: karibu sana bagamoyo mkuu!! Click to expand... Hilo shamba liko umbali gani kutoka kwennye miundombinu?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,186 Reaction score 95,956 Sep 28, 2013 #9 Fukayosi kuna umbali gani kutoka mjini? Miundombinu yake ikoje? Barabara,maji,umeme? Je kuna makazi ya watu wengine au pori?
Fukayosi kuna umbali gani kutoka mjini? Miundombinu yake ikoje? Barabara,maji,umeme? Je kuna makazi ya watu wengine au pori?
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,127 Sep 29, 2013 #10 bagamoyo baadae kutakuwa hot,kama mtu una uwezo wako ni vizuri kununua hata shamba,maana baadae unaweza ukaliuza kwa bei ya juu na kupata faida
bagamoyo baadae kutakuwa hot,kama mtu una uwezo wako ni vizuri kununua hata shamba,maana baadae unaweza ukaliuza kwa bei ya juu na kupata faida
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,977 Reaction score 30,162 Sep 29, 2013 #11 chakii said: eneo linaitwa fukayosi, si mbali na bagamoyo mjini mkuu!!! Click to expand... Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4. Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil?
chakii said: eneo linaitwa fukayosi, si mbali na bagamoyo mjini mkuu!!! Click to expand... Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4. Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil?
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,273 Sep 29, 2013 #12 Shark said: Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4. Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil? Click to expand... Mkuu ardhi inaongezeka thamani haraka sana,baada ya miaka 3 huenda bei ikawa milioni 10
Shark said: Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4. Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil? Click to expand... Mkuu ardhi inaongezeka thamani haraka sana,baada ya miaka 3 huenda bei ikawa milioni 10