Meliana watson
New Member
- Sep 28, 2022
- 1
- 1
Ukitoka Chalinze kabla ya kufika Msata. Ni eneo maarufu kwa machimbo ya kokotoLugoba iko wapi
Duh..Kumbe Ni mbali hivyo,nilifikiri ni hapa dsmUkitoka Chalinze kabla ya kufika Msata. Ni eneo maarufu kwa machimbo ya kokoto
Kama unataka kiwanja maeneo ya nikwambie, vikunai, mgeninani nakutumia dm namba yanguDuh..Kumbe Ni mbali hivyo,nilifikiri ni hapa dsm
Bradha Ni heri tu unifanyie mpango wa kiwanja mikwambe na viunga vyake maana wewe mtu mkubwa sn huwezi kosa connection kule
Noted..nitakutafutaKama unataka kiwanja maeneo ya nikwambie, vikunai, mgeninani nakutumia dm namba yangu
ZOEZI LA UTOAJI/UUZAJI VIWANJA KWA MNADA
Ukubwa wa kiwanja:600SQM yaani 20 kwa 30m
Eneo la Mradi:LUGOBA.
BEI ya kiwanja 230000
ZINGATIA
[emoji1428]Hati zitatolewa siku hiyo hiyo na uongozi wa serikali ya mtaa.
[emoji1428]Hakuna gharama zingine za ziada.
[emoji1428]Viwanja ni SQM 600 siyo 400 hivyo ni eneo kubwa la kutosha.
[emoji1428]Unaweza kufanya makazi ,biashara n.k sababu ni eneo lenye ukuaji mkubwa sana sana.
[emoji1428]Kiwanja kipo katika hali ya usafi na kina alama kamili za kiwanja husika.
[emoji1428]Eneo ni tambalale
Tarehe za mnada
[emoji3578]15/10/22
[emoji3578]16/10/22..
Kwa mawasiliano piga namba:
[emoji673]0746919354
[emoji184]TUNAKUSUDIA KUKUMILIKISHA ARDHI.*
MAKUTANO NI MAKUMBUSHO:
SAA 06:00 ASUBUHI
KARIBU
Unaweza unganisha viwili?ZOEZI LA UTOAJI/UUZAJI VIWANJA KWA MNADA

Ni maeneo gani haya? Kigamboni?Kama unataka kiwanja maeneo ya nikwambie, vikunai, mgeninani nakutumia dm namba yangu
Mkuu huko Mikwembe inaweza kugharimu kiasi gani kwa eneo la sqm 600 - 1000?Duh..Kumbe Ni mbali hivyo,nilifikiri ni hapa dsm
Bradha Ni heri tu unifanyie mpango wa kiwanja mikwambe na viunga vyake maana wewe mtu mkubwa sn huwezi kosa connection kule
Mkuu na mimi naomba niunganishe kwenye hiyo fursa ya Kiwanja huko Vikunai P'se.Kama unataka kiwanja maeneo ya nikwambie, vikunai, mgeninani nakutumia dm namba yangu
Sina uhakika kaka..Mimi siyo mwenyeji hukoMkuu huko Mikwembe inaweza kugharimu kiasi gani kwa eneo la sqm 600 - 1000?
NJIA ya kutokea kigamboni ipo Kati ya kigamboni (mikwambe) na Mtoni kijichiNi maeneo gani haya? Kigamboni?