Hahahahahaaaa pale pako poa sana then jioni ya kesho Babylon ili kucheck mpira huku ndovu inashuka na music za ukweli...dah A townnnnnnnnn......bombaaaa
asenti jembe... jana nilimalizia jioni kwa mkandamizo wa mnafu wa kuku pale Florida..nyepesi nyepesi nimiambia Matongee na Bugaluu pamefulia... si kama ziku za nyuma.. nimeambiwa kuna pub maarufu kwa jina la Matak* Matak* Bar... nadhani jioni itaanzia hapo jomba...
Hahahaha Lily Pub Albeto kwa mbele kidogo kuna korongo si salama sana wanaweza kumfanya kitu mbaya....Bora aende Sakina Bar kabisa coz si mbali na Alberto