papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,709
Salute Wanabodi!
Nina uza Viwanja 2 vilivyopo jiji Mwanza maeneo ya Nyegezi Nyamalango & Nyamazobe chini ya stendi ya mabasi Nyegezi , mmiliki na muuzaji wa hivi viwanja ni mimi mwenyewe, hivyo dalali hatakiwi.
Kiwanja Cha Nyegezi - Nyamalango: Kipo kwenye eneo la makazi ambalo ni flat area, kimepimwa, ukubwa 30 X 20m, nguzo ya umeme na bomba la maji vipo btn 5 -10m toka kwenye kiwanja, bei ni milioni 13.
Kiwanja Cha Nyegezi - Nyamazobe: Kipo kwenye eneo la makazi ambalo ni mwinuko kidogo linalo tazama upande wa mashariki ilipo stendi ya mabasi nyegezi, kipo sehemu yenye mandhari nzuri sana, ukubwa ni 32 x 25m, umeme na maji vipo mita 20, bei ni milioni 8.5
Ni PM kama una hitaji kiwanja/viwanja hivi.
Ciao!