VIWANJA 2 β MBEZI LUGURUNI VINAUZWA
Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa yako!
π Eneo: Mbezi Luguruni
πΉ Kiwanja cha 1 π Ukubwa: 700 mΒ² (SQM 700) π° Bei: TSh Milioni 15
πΉ Kiwanja cha 2 π Ukubwa: 1,300 mΒ² (SQM 1300) π° Bei: TSh Milioni 35
β
Vyote vimepimwa na vina Hati ya Wizara.
β
Kutoka stendi hadi kwenye site ni pikipiki ya Sh 1,000 tu.
π Kwa maelezo zaidi na kupanga kwenda kuona viwanja, wasiliana: 0675 065906