Lugano Ahazi
Member
- Oct 1, 2020
- 7
- 6
Awa new member wanstuharibia forum yetuHabarini.......anaejua mshahara wa Posta...Tpcss1 tafadhali
Huwezi kupata kazi weweHabarini.......anaejua mshahara wa Posta...Tpcss1 tafadhali
Mashirika mengi huwa yanacheza 1.2M kwa entry level degreeHabarini.......anaejua mshahara wa Posta...Tpcss1 tafadhali
Hyo itakuwa ni hela ya kawaida tu,, unaweza Kuta ni watu wa cheti Cha iv au plus certificate ya koz fulaniMashirika mengi huwa yanacheza 1.2M kwa entry level degree
Vijana msiwe na matarajio makubwa sana taasisi za mishahara ya kuingilia kuanzia 2M ni chache sana ambazo ni giant (TRA,TCRA,eGA, CMA na nyingine chache)Hyo itakuwa ni hela ya kawaida tu,, unaweza Kuta ni watu wa cheti Cha iv au plus certificate ya koz fulani
Huko Halmashauri nasikia wengi wanasema Kuna njaaVijana msiwe na matarajio makubwa sana taasisi za mishahara ya kuingilia kuanzia 2M ni chache sana ambazo ni giant (TRA,TCRA,eGA, CMA na nyingine chache)
Tena halmashauri ndio njaa kabisa laki 7 kavu na degree yako
AhahaaaaaHuko Halmashauri nasikia wengi wanasema Kuna njaa