Viwango vya mishahara TCCIA na TAA

Viwango vya mishahara TCCIA na TAA

elimukwanza

Senior Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
169
Reaction score
23
Wadau napenda kuelewa tofauti ya mamlaka hizi na viwango vyao vya mmishahara kwa ngazi ya uhasibu.
 
TCAA wanamaslahi makubwa tofauti na TAA Tatizo la TCAA usitarajie kupata kazi kama hauna undugu na mkulu wa pale. Yan sasa hivi TCAA ni full ubaguzi.
 
Soma tena heading
user-online.png
bologna
 
TAA scale 3 ni laki 7-8 around hapo kima cha chini ni kwa hii sector ya TAA ni 400000 Sasa jaribu kuangalia scale yako inaweza kuwa wapi linganisha
 
Back
Top Bottom