VIWANDA 3306 VIPO KWELI ?

VIWANDA 3306 VIPO KWELI ?

Equation

Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
58
Reaction score
81
Nafurahia kusikia habari ya Viwanda tuambiwavyo. Lakini viwanda vyenyewe vipo kweli ? Ni vya tangu Uhuru au kuanzia mwaka 2015 ? Na Je kwa Kiwanda kimoja huchukua muda gani kujengwa ?
 
Mama ntilie nae ni kiwanda cha kuutoa unga kutoka katika unga na kuwa ugali,hivyo pia kwa mchele kuwa wali.
 
Mtoa mada,

Awamu hii Tuko vizuri,

Ni wasiwasi wako tu unaokusumbua.

JUST RELAX

FB_IMG_1525173621081.jpg
 
Vimezid bro mana cherehani nazo ni viwanda?
 
Back
Top Bottom