Viwalo vikali kwa laki 2

Mambo gani???? Achen ubahil wanaume, sasa mtu anataka avae kiatu cha mtumba 8000 ili avae miaka 3 bila kubadilisha kama kalogewa. Hebu nendeni na wakati bhana, sio kuishia kuona pair za viatu za akina fulan kwenye TV.


Kwaheri

Jamani wewe.
Ebu tuelekeze kaduka kako kalipo basi.
 
Nenda Karume kama ulivyokwisha shauriwa. Viwalo vya mtumba hata mi navikubali. Hivi viwalo vipya unanunua ukivifua mara mbili tatu vinakuwa kwenye hali mbaya kuliko hata vile vya mtumba!
 
Makubwa haya!! Jaman tena?? Khaa!!

Acha ubahili wew, sio unavaa viatu kama mwalimu wa shule ya msingi wewe.

nitakuja mwenyewe kwa Miguu yangu ukizingua nakuzingua.. Njoo Huku upande Wa Pili uniambie Mzigo upo kipande gani nije nikuunge Dada yangu
 
Naomba nikuvalishe viatu.

Achana na viatu vya mtumba unavaa kama umelogewa, njoo dukan uvae chako kipya kwa bei poa
naomba Uniwekee All Star Nyeupe namba 44 kwa zaidi nitakushtua kupitia upande wa pili
 
naomba Uniwekee All Star Nyeupe namba 44 kwa zaidi nitakushtua kupitia upande wa pili

Nitakuwekea, niliku2mia whtsp ila haukuwepo hewan sim zote.

Hata hvo jmos asubuh nitakuja mitaa yenu
 
Nitakuwekea, niliku2mia whtsp ila haukuwepo hewan sim zote.

Hata hvo jmos asubuh nitakuja mitaa yenu

Ooh Ukimaliza Mishe Zako Utanishtua basi kama tufahamiane, WhatsAp nimebadili namba dada c unajua nimepewa Cheo Cha Waziri wa Michepuko anayesimamia Sera na Uratibu Wa Jf! Sasa wifi yako hataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…