Viuno vya Wanawake wa dotcom mbona ni vizito sana kukatika Vitandani?

Mada nyingine zina ukakasi mdogo wangu hasa pale inapoelemea sehemu moja wakati mwisho wa siku raha mnapata wote.

Mzima lakini?
Hapo chacha hahahaha hawataki kupambana na hali zao, lol

Me mzima dada ake hofu juu yako.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hapo chacha hahahaha hawataki kupambana na hali zao, lol

Me mzima dada ake hofu juu yako.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kweli kabisa habari ya viuno wa achane nayo tu. Mana ukikata kiuno peke yako huku mwenzio anashangaa tu sasa hapo kuna raha au karaha. Cha zaidi mi naona itakuwa kuchoshana tu hapo.

Sijambo kabisa my mdogo. Sikuoni weye?
 
Lol, nipo japo naingia kwa machale si unajua mambo ya HAPA KAZI TU.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Angalia kwa umakini red na underlined blue, yaani wewe una demu wa kichaga, halafu ulikuwa na mwanaume aliyekufundisha mapenzi. Mbona sielewi kabisa hapa umeandika nini kwa mujibu wa mila na tamaduni za Kiafrika?

sina budi kumualika [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] aone post yako kwa sababu maalum.

Nilidhani ni peke yangu tu ndiyo sikumuelewa kumbe tupo wengi!
 
Wawakatikie kwa wema gani mnaowafanyia ??? Hizo free p na ndoa hamuwatunuku, bora tu wawe magogo.

Kuweni wakweli, angalia hata wanavyocheza mziki utagundua kama on test yake itaweza au la.. Sitaki kumharibia dada mmoja maarufu ametoa wimbo ,sijui anararu... lakini ukikitazama kiuno unaona kigumu.. Kiuno bila mfupa oyee..Kwake Ray C.
 
Back
Top Bottom