Viumbe vilivyo hatiani kupotea

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,191
Reaction score
1,629
Jamani wanawake wembamba na weusi nimimongon mwa viumbe vilivyo hatiani kupotea duniani tujitaidi kuviokoa
 
Ata wenye nywele za kiafrica mfano hapa mjini walishagaisha kabisa, katika mia unaeza kupata mmoja tu nae utakuta ametoka kijijin juz juz
 
Vidonge vya majira vimewapotezea wengi MAUMBO YAO....hiyo ni mbali na DAWA ZA MCHINA....
 
Tupo tumejaa tele km pishi la mchele, black natural color and slim. Najikubali na Ninajipenda na mwili wangu.
Tatizo nyie wanaume ndio chanzo mara tunataka wanene, mara White basi ukikuta na mwanamke hana msimamo matokeo yake anafuata unavyotaka ndio wanakuwa km hivyo.
Akuuu mie na msimamo wangu, marufuku kuyumbishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…