VITZ PINK NEW SHAPE for sale

VITZ PINK NEW SHAPE for sale

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Ya mwaka 2004 imetembea kilomita elf64 bei milioni 12.5 maongezi yapo
 
Attachments

  • 1407067003945.jpg
    1407067003945.jpg
    108 KB · Views: 793
Mh Vits 12m?au umekosea spelling mkuu.
Maana kwana rangi ya pink ni lazima mnunuzi awe mwanamke.
Kama si mwanamke basi Shoga.
Mtanisamehe,maana hizi rangi wenzetu wanatoa kwa maana.
Usije siku moja ukakutana na mzungu wa kiume akakutongoza mwanaume mwenzie,ujue kuna pink arround.Usirushe ngumi
Sasa ni kwa ajili ya madada hiyo Pink Vits
 
Hiyo bei iko juu na kama ni me ataingia gharama nyingine ya kubadilli rangi any way Vitz sanasana ni za kinadada.
 
Mh Vits 12m?au umekosea spelling mkuu.
Maana kwana rangi ya pink ni lazima mnunuzi awe mwanamke.
Kama si mwanamke basi Shoga.
Mtanisamehe,maana hizi rangi wenzetu wanatoa kwa maana.
Usije siku moja ukakutana na mzungu wa kiume akakutongoza mwanaume mwenzie,ujue kuna pink arround.Usirushe ngumi
Sasa ni kwa ajili ya madada hiyo Pink Vits

Doh mkuu sitii neno
 
Ukimnunulia mpenzi wako hiyo gari, lazima akuombe Galaxy rangi ya pink, viatu pink na saa na mkanda bila kusahau hand bag ya pink ili viende sawa.
 
Kwa specs ulizotaja hapo sikupi hata 5M..!..., labda ukinbadilishia rangi ntakufikiria 4.5 M.., heee!
 
Washamba msio jua maduka ya magari mmeona hicho kichekesho ? hata mkurya hajanunua kwa bei hiyo.
 
12.5million??na subaru forester ya 2006 ninunue bei gan??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom