I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 635 Reaction score 705 Nov 13, 2022 #1 Habari wadau. Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya. Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza. Mimi ndo mmiliki siyo dalali. Bei maelewano ila-gari ipo Ifakara mjini
Habari wadau. Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya. Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza. Mimi ndo mmiliki siyo dalali. Bei maelewano ila-gari ipo Ifakara mjini
Bangida JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 2,441 Reaction score 11,490 Nov 13, 2022 #2 Ungeweka na kapicha mkuu tuone... maana unaeza kuta n engine pekee hakuna hata body 😁😁😁
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,236 Reaction score 4,779 Nov 13, 2022 #3 Bila picha
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,537 Reaction score 4,435 Nov 13, 2022 #4 Weka picha yako tuone kama hii gari kama mnafanana nayo
Tyrex JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,421 Reaction score 5,225 Nov 13, 2022 #5 weka picha mkuu vp kwa Sasa inatembea au ndo haitembei kabsa?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,744 Reaction score 118,677 Nov 13, 2022 #6 inspectorbenja said: Habari wadau. Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya. Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza. Mimi ndo mmiliki siyo dalali. Bei maelewano ila-gari ipo Ifakara mjini Click to expand... Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mlabani, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo! Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu.
inspectorbenja said: Habari wadau. Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya. Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza. Mimi ndo mmiliki siyo dalali. Bei maelewano ila-gari ipo Ifakara mjini Click to expand... Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mlabani, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo! Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,601 Nov 13, 2022 #7 Ngoja waje kukupa muongozo...
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,319 Reaction score 13,242 Nov 13, 2022 #8 Weka picha wadau waione...kama bodi nzima..inanunulika tu
I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 635 Reaction score 705 Nov 13, 2022 Thread starter #9 Tate Mkuu said: Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo! Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu. Click to expand... Kaka unasema kweli.Mafundi wanaigusa sana lakini bado inasumbua. Gari ipo Kibaoni.
Tate Mkuu said: Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo! Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu. Click to expand... Kaka unasema kweli.Mafundi wanaigusa sana lakini bado inasumbua. Gari ipo Kibaoni.
I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 635 Reaction score 705 Nov 13, 2022 Thread starter #10
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,744 Reaction score 118,677 Nov 13, 2022 #11 inspectorbenja said: Kaka unasema kweli.Mafundi wanaigusa sana lakini bado inasumbua. Gari ipo Kibaoni. Click to expand... Hivi vigari ni vigumu sana. Ila changamoto yake kubwa ni hiyo kwa baadhi ya injini zake. Yaani ikizingua, ni kununua tu injini used. Ukifunga, ni mkataba.
inspectorbenja said: Kaka unasema kweli.Mafundi wanaigusa sana lakini bado inasumbua. Gari ipo Kibaoni. Click to expand... Hivi vigari ni vigumu sana. Ila changamoto yake kubwa ni hiyo kwa baadhi ya injini zake. Yaani ikizingua, ni kununua tu injini used. Ukifunga, ni mkataba.
Dulla Tawakal Member Joined Sep 10, 2022 Posts 86 Reaction score 106 Nov 24, 2022 #12 inspectorbenja said: View attachment 2415513 Click to expand... Enhe tunapozana bei Gan hapa??